STORY KWANZA - SOGGY DOGGY.
Rapper Soggy Doggy a.k.a Chief Rumanyika, licha ya
kushirikiana na wasanii wenzake D Knob, Sugu na Bwana Misosi kupigania suala la
wasanii kupata hati miliki ya kazi zao, Serikali imekuwa ikisuasua kutafuta
ufumbuzi wizi wa kazi za wasanii na kwamba itachukua mud asana wasanii kuja
kunufaika na kazi zao.
STORY PILI - SHADAMO.
Upcoming Artist kutoka Green City namzungumzia Shadamo, ambaye pia
anafanya vizuri kupitia Track ya MILELE MIMI NA WEWE amewatwatukia wasanii
wenzake Undergrounds kujiamini na kujipenda katika kazi zao, licha ya kuwa
katika kufikia mafanikio kuna misukosuko ya vikwazo na kutatishana tama, lakini
wakitia nia gemu la muziki wa kizazi kipya lina wigo mpana wa mafanikio.
STORY
KAMILI:-
KAMA ULIKOSA KUMSIKILIZA MAHOJIANO NA SOGGY DOGGY NA SHADAMO KATIKA CHUMBA CHA SINDANO ya KALI ZA BOMBA - BOMBA FM 104.0MHz WASIKILIZE
HAPA.
0 comments:
Post a Comment