![]() |
| Jonas Mkuse akigombea mpira wa juu na mchezaji wa Mbeya City |
![]() |
| Winga wa Mbeya City, Deofratius Julius akiwatoka mabeki wa Simba SC |
![]() |
| Amri Kiemba wakiwania mpira na Anthony Matogolo wa Mbeya City |
![]() |
| Paul Nonga wa City akimiliki mpira katikati ya mabeki wa Simba SC, Hassan Hatibu na Joseph Owino kulia |
![]() |
| Betram Mombeki wa Simba kulia akitafuta mbinu za kuwatoka mabeki wa Mbeya City |
![]() |
| Mombeki na mabeki wa Mbeya City |
![]() |
| Mombeki na mabeki wa Mbeya City |
![]() |
| Mombeki na mabeki wa Mbeya City |
![]() |
| Mfungaji wa mabao mawili ya Simba SC leo, Amisi Tambwe akipambana na mabeki wa Mbeya City |
![]() |
| Paul Nonga wa Mbeya City akimtoka Amri Kiemba wa Simba SC |
![]() |
| Twaha Ibrahim wa Simba SC akimlamba chenga beki wa Mbeya City |
![]() |
| Paul Nonga wa Mbeya City akimtoka Amri Kiemba |
![]() |
| Hatari kwenye lango la Mbeya City |
![]() |
| Wachezaji wa Mbeya City wakiomba dua kabla ya mechi |
![]() |
| Twaha Ibrahim wa Simba akimpiga chenga beki wa Mbeya City |
![]() |
| Haroun Chanongo wa Simba SC akifumua shuti mbele ya beki wa Mbeya City |
![]() |
| Kikosi cha Mbeya City leo |
![]() |
| Kikosi cha Simba SC leo |
![]() |
| Benchi la Simba SC baada ya Mbeya City kusawazisha |
![]() |
| Mashabiki wa Mbeya City waliosafiri kutoka Mbeya |
![]() |
| Mashabiki wa Simba SC Taifa leo |






















0 comments:
Post a Comment