STORY KWANZA - JOSLINHitmaker
wa Itika Joslin amesema yeye hajifananishi na Msanii yeyote hapa
Bongo, kwa sababu yeye ana ladha tofauti katika ngoma zake ambayo
hukatisha kiu ya mashabiki wa muziki ambao wanahitaji kuona uhalisia wa
msanii juu ya kile anachokiimba....
STORY YA PILI- CHRIS WA MARYA.Hitmaker wa Kilometer 6, Sinyorita na nyinginezo track kibao CHRIS WAMARYA kutoka Mji kasoro bahari, amedai kuwa ataendelea kuimba muziki wenye ladha ya bongo ili hata wasanii wa Kimataifa wapate kuuiga....
STORY YA TATU- CHRIS WA MARYA.Rapper
KABAGO wa BMW amesema anamshukuru Mola kwa kumpa uhai mpaka sasa na
madaktari walioweza kumtibu haraka na kumsababishia kuendelea vema,
kufuatia ajali iliyotokea Jumapili eneo la Msituni wakati yeye pamoja na
wasanii wenzake wakitokea Geita katika show kuelekea Airpot Mwanza.
NB:-Pia VUMBE na PNC wameweza kuzungumzia ajali hiyo.
STORY KAMILI WASIKILIZE HAPA WAKIZUNGUMZA:-
KAMA ULIKOSA KUMSIKILIZA MAHOJIANO NA JOSLIN, CHRIS WAMARYA, KABAGO, VUMBE NA PNC KATIKA CHUMBA CHA SINDANO - BOMBA FM WASIKILIZE HAPA.
0 comments:
Post a Comment